Yos. 9:17 SUV

17 Kisha wana wa Israeli walisafiri, wakaifikilia miji ya watu hao siku ya tatu. Basi miji ya watu hao ilikuwa ni hii, Gibeoni, na Kefira, na Beerothi, na Kiriath-yearimu.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:17 katika mazingira