Yos. 9:4 SUV

4 wao wakatenda kwa hila, nao wakaenda na kujifanya kama ndio wajumbe, wakaenda na magunia makuukuu juu ya punda zao, na viriba vya mvinyo vilivyokuwa vikuukuu vilivyoraruka-raruka, na kutiwa viraka;

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:4 katika mazingira