Yos. 9:5 SUV

5 na viatu vilivyotoboka na kushonwa-shonwa katika miguu yao, na mavao makuukuu waliyokuwa wanavaa; tena mkate wote wa chakula chao ulikuwa umekauka na kuingia koga.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:5 katika mazingira