Yos. 9:6 SUV

6 Nao wakamwendea Yoshua hata maragoni huko Gilgali, nao wakamwambia yeye na watu wa Israeli, Sisi tumetoka nchi ya mbali sana; basi kwa hiyo fanyeni agano pamoja nasi.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:6 katika mazingira