Zek. 1:16 SUV

16 Kwa sababu hiyo BWANA asema hivi, Ninaurudia Yerusalemu kwa rehema nyingi; nyumba yangu itajengwa ndani yake, asema BWANA wa majeshi, na kamba itanyoshwa juu ya Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Zek. 1

Mtazamo Zek. 1:16 katika mazingira