Zek. 1:17 SUV

17 Piga kelele tena, na kusema, BWANA wa majeshi asema hivi, Miji yangu kwa kufanikiwa itaenezwa huko na huko tena; naye BWANA ataufariji Sayuni tena, atauchagua Yerusalemu tena.

Kusoma sura kamili Zek. 1

Mtazamo Zek. 1:17 katika mazingira