Zek. 1:3 SUV

3 Basi, uwaambie, BWANA wa majeshi asema hivi, Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia ninyi, asema BWANA wa majeshi.

Kusoma sura kamili Zek. 1

Mtazamo Zek. 1:3 katika mazingira