Zek. 10:10 SUV

10 Tena nitawarudisha toka nchi ya Misri, nitawakusanya na kuwatoa katika Ashuru; nami nitawaingiza katika nchi ya Gileadi na Lebanoni; ila nafasi ya kuwatosha haitaonekana.

Kusoma sura kamili Zek. 10

Mtazamo Zek. 10:10 katika mazingira