Zek. 10:11 SUV

11 Naye atapita kati ya bahari ya mateso, na kuyapiga mawimbi ya bahari, na vilindi vyote vya mto wa Nile vitakauka; na kiburi cha Ashuru kitashushwa; na fimbo ya enzi ya Misri itatoweka.

Kusoma sura kamili Zek. 10

Mtazamo Zek. 10:11 katika mazingira