Zek. 10:4 SUV

4 Kwake yeye litatoka lile jiwe la pembeni, kwake yeye utatoka msumari, kwake yeye utatoka upinde wa vita, kwake yeye atatoka kila mtawala pamoja.

Kusoma sura kamili Zek. 10

Mtazamo Zek. 10:4 katika mazingira