Zek. 11:5 SUV

5 ambalo wenye kundi hilo huwachinja, kisha hujiona kuwa hawana hatia; na hao wawauzao husema, Na ahimidiwe BWANA, kwa maana mimi ni tajiri; na wachungaji wao wenyewe hawawahurumii.

Kusoma sura kamili Zek. 11

Mtazamo Zek. 11:5 katika mazingira