Zek. 13:2 SUV

2 Kisha itakuwa katika siku hiyo, asema BWANA wa majeshi, nitakatilia mbali majina ya sanamu katika nchi, yasikumbukwe tena; pia nitawafukuza manabii, na roho ya uchafu, watoke katika nchi.

Kusoma sura kamili Zek. 13

Mtazamo Zek. 13:2 katika mazingira