Zek. 4:12 SUV

12 Nami nikajibu mara ya pili, nikamwuliza, Ni nini haya matawi mawili ya mizeituni, ambayo kwa njia ya ile mifereji miwili ya dhahabu hutoa mafuta yao?

Kusoma sura kamili Zek. 4

Mtazamo Zek. 4:12 katika mazingira