11 Akaniambia, Wanakwenda kumjengea nyumba katika nchi ya Shinari; tena ikiisha kutengenezwa, atawekwa huko mahali pake mwenyewe.
Kusoma sura kamili Zek. 5
Mtazamo Zek. 5:11 katika mazingira