Zek. 6:1 SUV

1 Nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, yanatokea magari ya vita manne, yanatoka kati ya milima miwili, na milima hiyo ilikuwa ni milima ya shaba.

Kusoma sura kamili Zek. 6

Mtazamo Zek. 6:1 katika mazingira