Zek. 5:3 SUV

3 Ndipo akaniambia, Hii ndiyo laana itokayo kwenda juu ya uso wa nchi yote; maana kwa hiyo kila aibaye atatolewa kama ilivyo upande mmoja, na kwa hiyo kila aapaye atatolewa kama ilivyo upande wa pili.

Kusoma sura kamili Zek. 5

Mtazamo Zek. 5:3 katika mazingira