Zek. 5:4 SUV

4 Nitaituma itokee, asema BWANA wa majeshi, nayo itaingia katika nyumba ya mwivi, na katika nyumba yake yeye aapaye kwa uongo kwa jina langu; nayo itakaa katikati ya nyumba yake, na kuiteketeza, pamoja na boriti zake na mawe yake.

Kusoma sura kamili Zek. 5

Mtazamo Zek. 5:4 katika mazingira