8 Akasema, Huyu ni Uovu; akamtupa chini katikati ya ile efa; akalitupa lile jiwe la risasi juu ya mdomo wa ile efa.
Kusoma sura kamili Zek. 5
Mtazamo Zek. 5:8 katika mazingira