Zek. 6:12 SUV

12 ukamwambie, ukisema, BWANA wa majeshi asema hivi, ya kwamba, Tazama, mtu huyu ndiye ambaye jina lake ni Chipukizi; naye atakua katika mahali pake, naye atalijenga hekalu la BWANA.

Kusoma sura kamili Zek. 6

Mtazamo Zek. 6:12 katika mazingira