Zek. 6:13 SUV

13 Naam, yeye atalijenga hekalu la BWANA; naye atauchukua huo utukufu; ataketi akimiliki katika kiti chake cha enzi; na kutakuwa na kuhani katika kiti chake cha enzi; na shauri la amani litakuwa kati ya hao wawili.

Kusoma sura kamili Zek. 6

Mtazamo Zek. 6:13 katika mazingira