Zek. 6:7 SUV

7 Na wale wekundu wakatoka, wakataka kwenda huko na huko katika dunia; naye akawaambia, Haya! Tokeni, mwende huko na huko katika dunia. Basi wakaenda huko na huko katika dunia.

Kusoma sura kamili Zek. 6

Mtazamo Zek. 6:7 katika mazingira