1 Mambo Ya Nyakati 1:19 BHN

19 Eberi alikuwa na wana wawili; mmoja wao aliitwa Pelegi, (kwa maana wakati wake watu walikuwa wametawanyika duniani), na ndugu yake aliitwa Yoktani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 1:19 katika mazingira