43 Wafuatao ndio wafalme waliotawala nchi ya Edomu kabla mfalme yeyote hajatawala Waisraeli: Bela mwana wa Beori alitawala nchi ya Edomu, akiwa na makao yake makuu katika mji wa Dinhaba.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 1
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 1:43 katika mazingira