1 Mambo Ya Nyakati 1:46 BHN

46 Hushamu alipofariki, Hadadi mwana wa Bedadi alitawala badala yake, makao yake makuu yakiwa katika mji wa Avithi. Huyu ndiye aliyewapiga na kuwashinda Wamidiani katika nchi ya Moabu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 1

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 1:46 katika mazingira