51 Naye Hadadi akafariki.Wakuu wa makabila ya Edomu walikuwa Timna, Alva, Yethethi,
52 Oholibama, Ela, Pinoni,
53 Kenazi, Temani, Mibsari,
54 Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.