1 Mambo Ya Nyakati 10:1 BHN

1 Basi, Wafilisti walipigana vita dhidi ya Waisraeli; nao Waisraeli walikimbia mbele ya Wafilisti na kuuawa katika mlima wa Gilboa.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 10:1 katika mazingira