1 Mambo Ya Nyakati 10:12 BHN

12 mashujaa wote waliondoka na kuuchukua mwili wa Shauli na miili ya wanawe, wakaileta mpaka Yabeshi. Wakaizika mifupa yao chini ya mwaloni huko Yabeshi, nao wakafunga kwa muda wa siku saba.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 10:12 katika mazingira