1 Mambo Ya Nyakati 10:7 BHN

7 Nao watu wa Israeli walioishi bondeni walipoona jeshi limewakimbia maadui, na ya kuwa Shauli na wanawe wamekufa, waliihama miji yao wakakimbia. Wafilisti wakaenda na kukaa katika miji hiyo.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 10

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 10:7 katika mazingira