11 Ifuatayo ni orodha ya mashujaa hao wa Daudi: Yashobeamu, Mhakmoni, aliyekuwa kiongozi wa “Wale thelathini.” Yeye alipigana kwa mkuki wake akaua watu 300 kwa mara moja vitani.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:11 katika mazingira