1 Mambo Ya Nyakati 11:21 BHN

21 Basi, akawa mashuhuri zaidi miongoni mwa mashujaa thelathini, hata akawa kamanda wao, lakini hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:21 katika mazingira