1 Mambo Ya Nyakati 11:25 BHN

25 Basi, akawa mashuhuri kati ya wale mashujaa thelathini, ingawa hakuwa shujaa kama wale mashujaa watatu. Na Daudi akampa cheo cha mkuu wa walinzi wake binafsi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 11

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 11:25 katika mazingira