1 Mambo Ya Nyakati 12:17 BHN

17 Daudi akatoka nje kuwalaki, akawaambia, “Ikiwa mmekuja kwangu kama marafiki ili kunisaidia basi nawapokea kwa moyo wote, lakini kama mmekuja ili kunisaliti kwa maadui zangu, ingawa sijatenda ovu lolote, Mungu wa baba zetu awaone na awakemee.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 12:17 katika mazingira