37 Kutoka kabila la Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase kutoka ngambo ya mto Yordani: Watu 120,000 wenye kila aina ya silaha za vita.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 12
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 12:37 katika mazingira