1 Mambo Ya Nyakati 12:8 BHN

8 Tena, watu kutoka kabila la Gadi walijiunga na Daudi akiwa ngomeni kule nyikani. Hawa walikuwa askari wenye nguvu na uzoefu, hodari wa kutumia ngao na mkuki; wenye nyuso za kutisha kama simba na wepesi kama swala milimani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 12

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 12:8 katika mazingira