1 Mambo Ya Nyakati 13:2 BHN

2 Kisha akawaambia Waisraeli wote waliokusanyika, “Ikiwa mtakubaliana nami, na ikiwa ni mapenzi yake Mwenyezi-Mungu, Mungu wetu, na tufanye hivi: Tutume wajumbe waende wakawaite ndugu zetu waliobaki nchini Israeli, pamoja na makuhani na Walawi walioko katika miji yao na malisho yao, waje wajumuike pamoja nasi.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 13:2 katika mazingira