1 Mambo Ya Nyakati 13:5 BHN

5 Hivyo, Daudi aliwakusanya Waisraeli wote nchini; toka kijito cha Shihori kilichoko Misri, hadi maingilio ya Hamathi ili kulileta sanduku la Mungu toka Kiriath-yearimu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 13

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 13:5 katika mazingira