29 Sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu lilipokuwa linaingia katika mji wa Daudi, Mikali, binti Shauli, alichungulia dirishani, akamwona mfalme Daudi akicheza na kushangilia, basi akamdharau moyoni mwake.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 15
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 15:29 katika mazingira