1 Mambo Ya Nyakati 16:39 BHN

39 Mfalme Daudi akawaweka kuhani Sadoki na makuhani wenzake kuwa wahudumu wa hema ya Mwenyezi-Mungu iliyokuwa mahali pa kuabudu huko Gibeoni

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:39 katika mazingira