42 Hemani na Yeduthuni walikuwa na tarumbeta na matoazi kwa ajili ya muziki na ala za muziki kwa ajili ya nyimbo takatifu. Wana wa Yeduthuni walichaguliwa kuyalinda malango.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:42 katika mazingira