1 Mambo Ya Nyakati 16:5 BHN

5 Alimchagua Asafu kuwa kiongozi wao, akisaidiwa na Zekaria. Yeieli, Shemiramothi, Yehieli, Metithia, Eliabu, Benaya, Obed-edomu na Yehieli, aliwachagua wawe wapiga vinanda na vinubi. Asafu alipiga matoazi,

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:5 katika mazingira