1 Mambo Ya Nyakati 16:7 BHN

7 Basi, hiyo ikawa siku ambayo kwa mara ya kwanza, Daudi alimpa Asafu na ndugu zake Walawi wajibu wa kumwimbia Mwenyezi-Mungu nyimbo za shukrani.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 16

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 16:7 katika mazingira