1 Mambo Ya Nyakati 17:1 BHN

1 Wakati mfalme Daudi alipokuwa akikaa katika ikulu, siku moja alimwita nabii Nathani, na kumwambia, “Hebu tazama, mimi ninakaa kwenye nyumba nzuri iliyojengwa kwa mwerezi, lakini sanduku la agano la Mwenyezi-Mungu linakaa hemani.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:1 katika mazingira