1 Mambo Ya Nyakati 17:16 BHN

16 Kisha mfalme Daudi akaingia ndani ya hema na kuketi mbele ya Mwenyezi-Mungu, halafu akaomba, “Mimi ni nani, ee Mwenyezi-Mungu, na nyumba yangu ni nini hata unitukuze hivi?

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:16 katika mazingira