19 Ee Mwenyezi-Mungu, kwa ajili ya mtumishi wako na kwa kufuatana na moyo wako mwenyewe, umeyatenda hayo makuu yote, ili yajulikane hayo matendo makuu yote.
Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17
Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:19 katika mazingira