1 Mambo Ya Nyakati 17:27 BHN

27 kwa hiyo nakuomba uibariki nyumba yangu, mimi mtumishi wako, ili idumu milele mbele yako; kwani unachobariki wewe, huwa kimebarikiwa milele.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:27 katika mazingira