1 Mambo Ya Nyakati 17:5 BHN

5 Tangu wakati ule nilipowaongoza watu wa Israeli kutoka Misri mpaka hivi leo, sijaishi kwenye nyumba. Nimekuwa nikihama toka hema hadi hema, na toka makao hadi makao mengine.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 17

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 17:5 katika mazingira