1 Mambo Ya Nyakati 19:10 BHN

10 Yoabu alipoona kuwa vita ni vikali dhidi yake, mbele na nyuma, aliwateua baadhi ya wanajeshi hodari zaidi wa Waisraeli, akawapanga kukabiliana na Waaramu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 19:10 katika mazingira