1 Mambo Ya Nyakati 19:15 BHN

15 Waamoni walipoona Waaramu wamekimbia, nao walimkimbia Abishai, nduguye Yoabu, wakaingia mjini. Ndipo Yoabu akarudi Yerusalemu.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 19:15 katika mazingira