1 Mambo Ya Nyakati 19:18 BHN

18 Lakini Waaramu walikimbia mbele ya Waisraeli. Daudi aliwaua Waaramu waendeshao magari 7,000 na askari wa miguu 40,000. Pia alimuua Shofaki, kamanda wa jeshi lao.

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 19:18 katika mazingira