1 Mambo Ya Nyakati 19:5 BHN

5 nao wakaondoka kurudi makwao. Daudi alipopashwa habari jinsi walivyotendewa wajumbe wake, alituma watu kuwalaki kwani hao wajumbe waliona aibu sana. Naye mfalme aliwaambia, “Kaeni mjini Yeriko, hata mtakapoota ndevu, Kisha mrudi.”

Kusoma sura kamili 1 Mambo Ya Nyakati 19

Mtazamo 1 Mambo Ya Nyakati 19:5 katika mazingira